Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
huwezi hamini leo banda humiza mashabiki wote wa chelsea walikuwa upande wa City mpaka nikabaki nashangaangoja wanakuja baki hapo hapo dont get twisted dont go nowhere!
bila shaka utakuwa huajelewa nini namaanishaJamii kids forum
Mkuu sometimes be PositiveJamii kids forum
Yaani niunge mkono utoto huu ?"Timu ya chelsea nchini England imejitoa EPL kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Manchester city katika kuania kombe la EPL"Mkuu sometimes be Positive