Chelsea yaruhusiwa kusajili tena Wachezaji kuanzia Januari 2020. Yashinda rufaa yake katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo

Chelsea yaruhusiwa kusajili tena Wachezaji kuanzia Januari 2020. Yashinda rufaa yake katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Klabu ya Soka ya Chelsea imefanikiwa kupangua adhabu iliyokuwa imewekewa ya kutokusajili Wachezaji katika madirisha mawili ya usajili

Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo imetoa uamuzi kwa faida ya Chelsea ambayo likuwa hairuhusiwi kusajili katika usajili wa Januari 2020 na ule wa majira ya joto wa Juni 2020

Chelsea ilipewa adhabu hiyo kutoka na kuvunja sheria a uasajili wa wachezaji wadogo wakidaiwa walishindwa kuwasajili wachezaji kadhaa walikowa wanacheza nje ya Uingereza
*****8

Chelsea's FIFA transfer ban for breaking youth transfer rules has been overturned after their appeal to the Court of Arbitration for Sport (CAS) was successful.

The outcome means that Blues manager Frank Lampard will be able to sign new players in the January transfer window.

Chelsea were given a two-window ban last season after failing to register young overseas players over a number of seasons.

Chelsea's FIFA transfer ban for breaking youth transfer rules has been overturned
The Premier League club has already served half of the suspension by not being able to make any new additions last summer.

Lampard will now be able to try to bring in new recruits next month. Chelsea did welcome winger Christian Pulisic from Borussia Dortmund during the 2019 summer transfer window after signing him last January.

The Blues were also able to bring in Mateo Kovacic on a permanent deal from Real Madrid as he was already registered with FIFA having spent last season on loan at Stamford Bridge.

Chelsea challenged verdicts by FIFA's disciplinary and appeal committees which stated that they had violated rules protecting minors from trafficking on 150 occasions. Those cases involved about 70 players.

The Premier League club also broke rules prohibiting third-party influence on players, with FIFA imposing a fine of £467,000. Chelsea denied any wrongdoing.

The outcome means that manager Frank Lampard will be able to sign new players in January
 
Hongera zao tatizo anaweza kuleta mabishoo wakamwaribia timu kwa nidhamu mbovu wakati madogo wanakaza kweli kweli
 
Umakini wa hali ya juu utumike kwenye usajili la si hivyo tutaharibu timu iliyokwisha kuanza kuwa na muunganiko mzuri.
 
mtoa mada fanya masahihisho, juni 2020 CFC walikuwa wanaweza kusajili mana ban ilikuwa inaisha january 2020.
 
Mi nadhani team imeshaanza elewana aisajili ovyo ovyo ataharibu team.
 
Mambo Safi ili timu irekebishe Sehemu zenye changamoto Kama beki na forward line
 
Washenzi hao fifa wameona timu inakimbiza hata zile zilizo sajili sasa wakarudisha majeshi
"Empisi ankanyapila ibale eti nolaba otangamba chonka wakaulila"
 
Habari nzuri kabisa hii.Naona mashabiki wa man u,Mourinho na arsenal watakuwa wanapumulia mashine.
 
Pale beki za nyuma zote mbovu lampard aanzie hapo, striker's nao hakuna ukimtoa Abraham
 
Back
Top Bottom