B Bernard bakari JF-Expert Member Joined Mar 30, 2016 Posts 407 Reaction score 781 Mar 7, 2017 #1 Club ya chelsea jana imezidi kujiimarisha kileleni mwa ligi kuu ya nchini uingereza baada ya kuinyuka west ham goli mbili kwa moja na kuendelea kuwa tishio kwa timu zenye matumaini ya kuikamata katika mbio hizo za kuwania ubingwa
Club ya chelsea jana imezidi kujiimarisha kileleni mwa ligi kuu ya nchini uingereza baada ya kuinyuka west ham goli mbili kwa moja na kuendelea kuwa tishio kwa timu zenye matumaini ya kuikamata katika mbio hizo za kuwania ubingwa
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,975 Reaction score 4,266 Mar 7, 2017 #2 Kwa aina ya ushindi wa kusuasua kwa wanaomfuatia sitegemei muujiza....... Wanaweza kutawazwa mabingwa kabla ya mechi kadhaa
Kwa aina ya ushindi wa kusuasua kwa wanaomfuatia sitegemei muujiza....... Wanaweza kutawazwa mabingwa kabla ya mechi kadhaa
B Bernard bakari JF-Expert Member Joined Mar 30, 2016 Posts 407 Reaction score 781 Mar 7, 2017 Thread starter #3 Hawa wanyuma yake wanaenda mwendo wa kinyonga wakati yeye anaua tu na mechi zinazidi tu kupungua
gemmanuel265 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 8,485 Reaction score 18,048 Mar 7, 2017 #4 Chelsea kwa sasa wako vizuri sana