Chelsea yazidi kujikita kileleni yainyuka west ham 2-1 Jijini London

Chelsea yazidi kujikita kileleni yainyuka west ham 2-1 Jijini London

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Club ya chelsea jana imezidi kujiimarisha kileleni mwa ligi kuu ya nchini uingereza baada ya kuinyuka west ham goli mbili kwa moja na kuendelea kuwa tishio kwa timu zenye matumaini ya kuikamata katika mbio hizo za kuwania ubingwa
 
Back
Top Bottom