Bila kusahau karanga, Njugu na mtama/uwele
Mkuu inategemea Chemba maeneo gani ? Kuna vijiji kilimo Cha mahindi kinakubali, Mbaazi, Alizeti, jitahisi Utembelee kipindi hichi uone Hali ya Mazao masjambani, Kama unakwenda Kulima pazuri Zajirwa, mlanje, mrijo, soya sio kubaya, piya tembelea maeneo ya Wilaya Chamwino Kuna vijiji vizuri Kwa kilimo:- Izava, sigala, itiso, haneti, dabalo manyusi, na ndibisiPoleni na majukumu wakulima, samahani ningependa kujua Chemba Dodoma kunafaa kilimo kipi..?? Je kumwagilia ni muhimu..??
Natanguliza Shuktani[emoji1666][emoji1666]