Chemba Dodoma kunafaa kilimo kipi..??

Chemba Dodoma kunafaa kilimo kipi..??

isaiah9

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
71
Reaction score
66
Poleni na majukumu wakulima, samahani ningependa kujua Chemba Dodoma kunafaa kilimo kipi..?? Je kumwagilia ni muhimu..??

Natanguliza Shuktani[emoji1666][emoji1666]
 
Poleni na majukumu wakulima, samahani ningependa kujua Chemba Dodoma kunafaa kilimo kipi..?? Je kumwagilia ni muhimu..??

Natanguliza Shuktani[emoji1666][emoji1666]
Mkuu inategemea Chemba maeneo gani ? Kuna vijiji kilimo Cha mahindi kinakubali, Mbaazi, Alizeti, jitahisi Utembelee kipindi hichi uone Hali ya Mazao masjambani, Kama unakwenda Kulima pazuri Zajirwa, mlanje, mrijo, soya sio kubaya, piya tembelea maeneo ya Wilaya Chamwino Kuna vijiji vizuri Kwa kilimo:- Izava, sigala, itiso, haneti, dabalo manyusi, na ndibisi
 
Wakuu natafuta eneo la kununua Chemba kwaajili ya ufugaji wa Ngombe na Mbuzi-Naomba ushauri ni nunue vijiji gani kuna mifugo mingi na marisho pia. Na pia bei zikoje kwa eka 1?
 
Back
Top Bottom