Chemical afunguka kuhusu kutolewa bikra na vidume wawili

Mmoja alitoa ya mbele, mwingine ya nyuma..
Ndio maana siku hizi sisikilizi mziki wao, aheri nisikilize ajali ya msondo ngoma
 
Ukiangalia ile video, Chemical hakua serious wakati anajibu sababu interview iliisha lakini mtangazaji alikua anamfata kwa nyuma huku anamchombeza na vimaneno ndio Chemical akajibu vile.

Ila kwa kua siku hizi hakuna habari basi hiyo wakaifanya habari badala ya mziki wake na alisema niulizeni kuhusu mziki wangu.
 
Kama hivyo ndivyo, basi sawa.
 
Back
Top Bottom