Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sawa mchumbaMchumba ukielewa nieleweshe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mchumbaMchumba ukielewa nieleweshe.
Wa kwanza alitoa akakimbia....Nani ajisumbue kutoa bikra kwa gugume kama hill?
sasa si kama wema na mamaake unaonaje?Mpuuzi tu eti huyu nae ana wazazi
definitely[emoji2]Ni kwamba ilikua threesome au mi ndo sijaelewa?
It seems mwanaume wa kwanza os penis ilikuwa legelege....Ni kwamba ilikua threesome au mi ndo sijaelewa?
Wapi huko ?Sasa kaona miaka 20 kacheleeewaaaa,,,Wakati watu zimetolewa wana miaka 35
SureDaaaaamn. Mbele na nyuma?
Hapa hapa mjini,,,Wapi huko ?
Kitu 3someLabda bikra zote mbili
acha uongo wewe.Sasa kaona miaka 20 kacheleeewaaaa,,,Wakati watu zimetolewa wana miaka 35
exactlyNi kwamba ilikua threesome au mi ndo sijaelewa?
Ukichanganya na Chemical ndiyo kabisaaDunia inaenda kasi sana...
Umaarufu na kick za kijinga zina wagharimu sana ndo maana wakiondoka kwenye kiwanda cha Muziki na kuwa watu wa kawaida wanaishi maisha dhariri sana jinga kabisaView attachment 794464
Rapa wa kike wa bongo Chemical 'mwana wa Lubao' amefunguka na kudai hawezi kujutia kutokuolewa na mwanaume ambae ametoa usichana wake 'bikra' kwa kuwa anawajua wanaume waliokuwa wengi hawana mapenzi ya kweli huwa wanabadilika muda wowote wakijisikia.
Chemical ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV na kusisitiza kuwa licha ya kuwa yupo katika mahusiano lakini hana malengo ya aina yeyote kwa kipindi hiki kufunga pingu za maisha 'ndoa' mpaka pale atakapojihakikishia yeye mwenyewe ameweza kukamilisha kila alichokuwa anakihitaji kukipata.
"Sijasema kama ninaingia kwenye ndoa baada ya miaka mitano au 10, 'no' sijasema hivyo. Watu hubadilika sana anaweza mtu akakupenda leo halafu kesho asikupende na kwangu mimi hilo suala nipo fresh kabisa kwa hiyo sijaingia katika mahusiano kwa kusema huyo ndio atakuja kunioa leo wala kesho", amesema Chemical.
Mbali na hilo, Chemical amedai haikuwa jambo rahisi ya yeye kutolewa usichane wake na mwanaume mmoja kwa kuwa alikuwa amekomaa sana hivyo ikapelekea kutembea na wanaume wawili kwa wakati mmoja katika kutekeleza jambo hilo.
"Ujue nimekaa hiyo miaka 20 sio midogo, kwa hiyo ikabidi wasaidiane. Yote hayo yamefanyika nikiwa na akili zangu wala sijatumia pombe maana nilipanga kitolewe na kwa kuwa wa kwanza alishindwa ili bidi aje mwingine amalizie kuitoa", amesisitiza Chemical.
Mpekuzi