HaswaaMmmmmh! Kwan ndio huyu aliyeimbaga sielew?
Ungekuwa una vichwa viwili ningesema umetimia kichwa cha chin kufikiria ila kwa vile unacho kimoja nashindwa kuelewa umetumia nn...Mhhhhhh kila la kheri mkuu.
Sielewiiii.!Haswaa
Poa mkuu pa1 sana.Mi Chemical ni Mchizi wangu so naweza kukupa info zake kidogo.
1.Tayari yuko under management ya mtu anaitwa kusaga wanafanya ngoma zao na KAZI KWANZA Records ya maximizer.. So Marco Polo sijui ka utapata hiyo opportunity ya kuwa manager..
2. Ngoma zake alizokwisha zi-release ni
-Struggling ft Fragga.
-Sielewi ft Soprano
-VIP
-Party ft The band
-Tanzania Mpya (We belong To Art crew)
So unaweza search hizo ngoma online ukamskia vizuri au kama unatumia soundcloud pia zipo kwa urahisi zaidi.
Mwenye Infos Zaid kumuhusu huyu binti anipe, napenda sana anavyo flow... Nahitaji kum manage nimfikishe mbali kabisa kwenye kilele.
Mbona povu jingi mkuu?Kwani wewe umeelewa vipi?Ungekuwa una vichwa viwili ningesema umetimia kichwa cha chin kufikiria ila kwa vile unacho kimoja nashindwa kuelewa umetumia nn...
...mwambie dogo akaze!Mi Chemical ni Mchizi wangu so naweza kukupa info zake kidogo.
1.Tayari yuko under management ya mtu anaitwa kusaga wanafanya ngoma zao na KAZI KWANZA Records ya maximizer.. So Marco Polo sijui ka utapata hiyo opportunity ya kuwa manager..
2. Ngoma zake alizokwisha zi-release ni
-Struggling ft Fragga.
-Sielewi ft Soprano
-VIP
-Party ft The band
-Tanzania Mpya (We belong To Art crew)
So unaweza search hizo ngoma online ukamskia vizuri au kama unatumia soundcloud pia zipo kwa urahisi zaidi.
Ana ngoma 3 kali hadi sasa , kuna ngoma ya Sielewi, VIP na ya 3 nimesahau jina lake. Binti anajua sana huyu. Namuona Niki Minaj kwa mbaaaaaaliSielewi, sihofii alafu kuna dude moja matata nahis bado la moto moto sijui linaitwaje, mwenye kujua nyimbo hiyo anifahamishe niitafute
Ana ngoma 3 kali hadi sasa , kuna ngoma ya Sielewi, VIP na ya 3 nimesahau jina lake. Binti anajua sana huyu. Namuona Niki Minaj kwa mbaaaaaali
Kanajitahidi sana.....flow zake zina "style" ambayo ndio changamoto kubwa kwa wafanya rap wengi.
Rappers wengi wanang'anga'nia kwenye kuandika mistari tu bila style yoyote itakayovutia kusikiliza....ni bora mistari iwe ya kawaida lakini style iwe tamu...au la uwe na talanta zote mbili kwa pamoja.
mshaanza warudisha maendeleoMtoto ana nyonyo zuri kinyama. Kama ni kumfikisha kileleni,we kaguse tu hapo kwa chuchu
Ulivomcomentia kwa red nyekundu hapoo juu unazani vimenogea?Sijui mnafikiriaga kwa vichwa visiivohesabikaa.Mbona povu jingi mkuu?Kwani wewe umeelewa vipi?
Mimi nimekutakia kila la kheri,kuna ubaya gani?
AiseeeeeeUlivomcomentia kwa red nyekundu hapoo juu unazani vimenogea?Sijui mnafikiriaga kwa vichwa visiivohesabikaa.
na hapo nimefanya makxudi tu nilijua utaropoka tu.Aiseeeeee