Chemical mbongo fleva

Chemical mbongo fleva

Attachments

  • 1453553234848.jpg
    1453553234848.jpg
    7.3 KB · Views: 40
Mi Chemical ni Mchizi wangu so naweza kukupa info zake kidogo.
1.Tayari yuko under management ya mtu anaitwa kusaga wanafanya ngoma zao na KAZI KWANZA Records ya maximizer.. So Marco Polo sijui ka utapata hiyo opportunity ya kuwa manager..
2. Ngoma zake alizokwisha zi-release ni
-Struggling ft Fragga.
-Sielewi ft Soprano
-VIP
-Party ft The band
-Tanzania Mpya (We belong To Art crew)

So unaweza search hizo ngoma online ukamskia vizuri au kama unatumia soundcloud pia zipo kwa urahisi zaidi.
 
Poa mkuu pa1 sana.
 
Mtoto ana nyonyo zuri kinyama. Kama ni kumfikisha kileleni,we kaguse tu hapo kwa chuchu
 
Kanajitahidi sana.....flow zake zina "style" ambayo ndio changamoto kubwa kwa wafanya rap wengi.

Rappers wengi wanang'anga'nia kwenye kuandika mistari tu bila style yoyote itakayovutia kusikiliza....ni bora mistari iwe ya kawaida lakini style iwe tamu...au la uwe na talanta zote mbili kwa pamoja.
 
Ungekuwa una vichwa viwili ningesema umetimia kichwa cha chin kufikiria ila kwa vile unacho kimoja nashindwa kuelewa umetumia nn...
Mbona povu jingi mkuu?Kwani wewe umeelewa vipi?
Mimi nimekutakia kila la kheri,kuna ubaya gani?
 
Mi Chemical ni Mchizi wangu so naweza kukupa info zake kidogo.
1.Tayari yuko under management ya mtu anaitwa kusaga wanafanya ngoma zao na KAZI KWANZA Records ya maximizer.. So Marco Polo sijui ka utapata hiyo opportunity ya kuwa manager..
2. Ngoma zake alizokwisha zi-release ni
-Struggling ft Fragga.
-Sielewi ft Soprano
-VIP
-Party ft The band
-Tanzania Mpya (We belong To Art crew)

So unaweza search hizo ngoma online ukamskia vizuri au kama unatumia soundcloud pia zipo kwa urahisi zaidi.
...mwambie dogo akaze!
...mwanzo mzuri,ANAWEZA!
 
Sielewi, sihofii alafu kuna dude moja matata nahis bado la moto moto sijui linaitwaje, mwenye kujua nyimbo hiyo anifahamishe niitafute
Ana ngoma 3 kali hadi sasa , kuna ngoma ya Sielewi, VIP na ya 3 nimesahau jina lake. Binti anajua sana huyu. Namuona Niki Minaj kwa mbaaaaaali
 
Afadhali abaki kuwa hivyo alivyo. Nicky Minaj siku hizi anamitako kama airbag
 
Kanajitahidi sana.....flow zake zina "style" ambayo ndio changamoto kubwa kwa wafanya rap wengi.

Rappers wengi wanang'anga'nia kwenye kuandika mistari tu bila style yoyote itakayovutia kusikiliza....ni bora mistari iwe ya kawaida lakini style iwe tamu...au la uwe na talanta zote mbili kwa pamoja.

anaimba kama KEKO wa uganda
 
Track yake mpya inaitwa "Pare" ya neno Party.... Ninaelewa kaka yake ndio anam-manage na ndio producer katika studio ya kali kwanza records
 
Mbona povu jingi mkuu?Kwani wewe umeelewa vipi?
Mimi nimekutakia kila la kheri,kuna ubaya gani?
Ulivomcomentia kwa red nyekundu hapoo juu unazani vimenogea?Sijui mnafikiriaga kwa vichwa visiivohesabikaa.
 
Back
Top Bottom