Chemical: Mimi ni msichana nataka kubembelezwa

Chemical: Mimi ni msichana nataka kubembelezwa

kabisa.......ila kwa ufikiri wangu hata ZARI naye pia tomboy
Zari tena mganda unaijua Uganda Kwa usagaji ni noma peleka mtoto wako wa kike akasome Uganda kama ajaludi Lesbian
 
Nimefuatilia hii interview inaonekana meneja wake amemla halafu hataki kuendelea kumsuport ila ni kat ya mafemale rappers wanaojua sana bongo hajapata management nzur ila namkubali namna anavyochana asikate Tamaa ipo siku wat watamwelewa sana
 
Daah! Alilia clouds alipohojiwa kuhusu yeye na meneja wake Chakuku.
 
Kama yeye hawekezi kwenye mapenzi mbona anawataka wenzake wam-bembeleze?
 
Ooh sura ngumu, angekuwa ni wa kiume kwa muonekano huohuo mngemuita mtoto mchelemchele.

Wabongo kwa masimango mna phd.
 
Hivi kale kademu cha arusha kalichokuwa kanachana hip hop.. BSS ya kina kayumba kameishia
wapi?
 
Daah mtoto Cnyat enzi zile 821 manzi ya R demu hayupo romantic kabisa ila kisu balaa ananiita jombaa ,chalii daah ila nikakaza moyo nikamtafuna.Anapiga daah jombaa unakamatia as if huji kufanya tena itakua ulikua unanivutia Kasi

Basi bana nimekumiss tu masai wewe
Ulikutana na kitu ya Matejoo [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom