Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
au ndio wa kibena... tanwat!!! kama yule MTM alivyosema?
Kumbe eeeeh? Lol
Yes sir!...I love me some my msukuma aisee!....he is such a sweetheart.Bone and clyde.....alafu nimeshakwambia acha kumtaja taja atajing'ata bana...mboma hivyo lakini...
Hukunisoma vizuri...rudi tena ukasome nilichokunukuu
haina haja ya kurudi na quote ulichosema...haya sema ulichosema basi that make you thinki quoted you wrong...
Basi bana. Umeshinda.
SHAURI YAKE!.Unajua kwa uhakika wa asilimia 100 kuwa hao ni wanawake?
mhhhh, mkubwa umeona hiyo AVATOR??.Mhhh... Yangu mie macho 🙂
"Never give up!'".....ndiyo maana Exaudi Nko amesema waafrika ni lazy ndiyo maana tupo poor sasa badala ya ku back up argument yako una give up....typical African....
aaaaaawch!Mzee ukame umekuzidi nini? Tafuta ngurumbembe umalize mashida chapchap!!
Waungwana
Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!!
Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely felt emotionally to Mwanadada mmoja simply kwa kuangalia post zake na hoja za nguvu na avatar yake
Na hii inakuwa very relevant hasa pale ambapo mtu una matatizo yako home au shule au job
DO you feel the same way ??
NO!
Kila mtu ana hisia zake kwenye mapenzi hizi ni HISIA zako unapenda kupitia maandishi pamoja na avatar ambayo si hata picha yake. Inaoneka Key board yako na screen imelowa mate kwa kubusu avatar ya huyo dada pamoja na maandishi.
Pia watu kama nyie mna hisisa kali sana mkiachika huwa majibu ya haraka ni kujiua kwa vile kumpata mwandishi mwingine wa kukuvutia kwenye tovuti inakuwa ngumu kidogo.

Umeliongea kwa uhakika sana! ulikuwa best man nini kwenye moja ya harusi hizo za J-Male married J-FemaleYes!! It is possible kabisa kibinadamau mtu kutengeneza interest na mtu hata kama hawajaonana...
Kwa hapa JF, kuna akina dada wanabandika hadi inakufanya utamani kuwaona... na tukubaliane kwamba hata baada ya kusoma baadhi ya comments, wengine wameenda mbali zaidi na kuanza kuwasiliana through PM na hadi simu na kisha kuonana!!! Ile yote ni confirmation kwamba attractions zinaweza kutokea kabla ya kuonana
I wish to see a couple of ladies wa JF siku moja na ninavyopenda ubishi sijui itakuwaje
Umeliongea kwa uhakika sana! ulikuwa best man nini kwenye moja ya harusi hizo za J-Male married J-Female