Chemistry and Love within JF

Chemistry and Love within JF

au ndio wa kibena... tanwat!!! kama yule MTM alivyosema?

MTM!...ni mnyalukolo yule tena sijamuona siku nyingi sijui ndiyo ameshaenda ku nzombe kufanya mapunduzi ya Jackson Makweta?.....pale Tanwati nina kashamba kangu aisee ninashuka na kibaragadu kangu sina habali!....

Kumbe eeeeh? Lol

Yes sir!...I love me some my msukuma aisee!....he is such a sweetheart.Bone and clyde.....alafu nimeshakwambia acha kumtaja taja atajing'ata bana...mboma hivyo lakini...
 
Hukunisoma vizuri...rudi tena ukasome nilichokunukuu
 
kama una matatizo si uyatafutie ufumbuzi, huku utakuwa unatafuta matatizo mengine
 
Mzee ukame umekuzidi nini? Tafuta ngurumbembe umalize mashida chapchap!!
 
Waungwana

Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!!

Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely felt emotionally to Mwanadada mmoja simply kwa kuangalia post zake na hoja za nguvu na avatar yake

Na hii inakuwa very relevant hasa pale ambapo mtu una matatizo yako home au shule au job

DO you feel the same way
??

NO!

Kila mtu ana hisia zake kwenye mapenzi hizi ni HISIA zako unapenda kupitia maandishi pamoja na avatar ambayo si hata picha yake. Inaoneka Key board yako na screen imelowa mate kwa kubusu avatar ya huyo dada pamoja na maandishi.

Pia watu kama nyie mna hisisa kali sana mkiachika huwa majibu ya haraka ni kujiua kwa vile kumpata mwandishi mwingine wa kukuvutia kwenye tovuti inakuwa ngumu kidogo.
 
Pole sana mheshimiwa uko mbali na mpenzi /mke au kwa muda mrefu umekuwa ukinyimwa unyumba ..namna gani tena Kiwavi 😉
 
NO!

Kila mtu ana hisia zake kwenye mapenzi hizi ni HISIA zako unapenda kupitia maandishi pamoja na avatar ambayo si hata picha yake. Inaoneka Key board yako na screen imelowa mate kwa kubusu avatar ya huyo dada pamoja na maandishi.

Pia watu kama nyie mna hisisa kali sana mkiachika huwa majibu ya haraka ni kujiua kwa vile kumpata mwandishi mwingine wa kukuvutia kwenye tovuti inakuwa ngumu kidogo.

hapo kwenye red nimecheeeeeeeeeka jamani
 
NO!

Kila mtu ana hisia zake kwenye mapenzi hizi ni HISIA zako unapenda kupitia maandishi pamoja na avatar ambayo si hata picha yake. Inaoneka Key board yako na screen imelowa mate kwa kubusu avatar ya huyo dada pamoja na maandishi.

Pia watu kama nyie mna hisisa kali sana mkiachika huwa majibu ya haraka ni kujiua kwa vile kumpata mwandishi mwingine wa kukuvutia kwenye tovuti inakuwa ngumu kidogo.

Hahahaha! Baba mkubwa hapa sina mbavu! Nimecheka hadi machozi!
 
NO!

Kila mtu ana hisia zake kwenye mapenzi hizi ni HISIA zako unapenda kupitia maandishi pamoja na avatar ambayo si hata picha yake. Inaoneka Key board yako na screen imelowa mate kwa kubusu avatar ya huyo dada pamoja na maandishi.

Pia watu kama nyie mna hisisa kali sana mkiachika huwa majibu ya haraka ni kujiua kwa vile kumpata mwandishi mwingine wa kukuvutia kwenye tovuti inakuwa ngumu kidogo.

Nguli hapo umeniua kwa kweli, key board yake na screen imejaa mate kwa kubusu avatar ya huyo dada!!!
 
Yes!! It is possible kabisa kibinadamau mtu kutengeneza interest na mtu hata kama hawajaonana...

  • Kuna scenario kama ile ya receptionists au telephone operators au costomer services staff, kupendwa kutokana na mvuto wao
  • Kuna watangazaji wa redio ambao husababisha either wanaume au wanawake kuvutiwa nao kutokana na sauti na lafudhi waitumiayo
  • Kuna baadhi ya hadthi huandikwa ki-mvuto kiasi cha kufanya wasomaji kuvutiwa mojakwamoja na character fulani... nani alisoma kitabu cha "Chatu"? miaka ya themanini kilikua cha watoto wa level ya primary kilikua maarufu sana pale tanganyika library? kitabu kile kilinifanya nipende character kablsa sijamuona

Kwa hapa JF, kuna akina dada wanabandika hadi inakufanya utamani kuwaona... na tukubaliane kwamba hata baada ya kusoma baadhi ya comments, wengine wameenda mbali zaidi na kuanza kuwasiliana through PM na hadi simu na kisha kuonana!!! Ile yote ni confirmation kwamba attractions zinaweza kutokea kabla ya kuonana

I wish to see a couple of ladies wa JF siku moja na ninavyopenda ubishi sijui itakuwaje
 
Yes!! It is possible kabisa kibinadamau mtu kutengeneza interest na mtu hata kama hawajaonana...

Kwa hapa JF, kuna akina dada wanabandika hadi inakufanya utamani kuwaona... na tukubaliane kwamba hata baada ya kusoma baadhi ya comments, wengine wameenda mbali zaidi na kuanza kuwasiliana through PM na hadi simu na kisha kuonana!!! Ile yote ni confirmation kwamba attractions zinaweza kutokea kabla ya kuonana

I wish to see a couple of ladies wa JF siku moja na ninavyopenda ubishi sijui itakuwaje
Umeliongea kwa uhakika sana! ulikuwa best man nini kwenye moja ya harusi hizo za J-Male married J-Female
 
ukisoma vizuri, utagundua nimesema "...kufikia kuonana" na sio kuoana
 
Back
Top Bottom