Chemistry hii ya mapishi ya msosi inashangaza sana

Kama hutojali, taswira ya kilochobakia tafadhali kabla hujakipasha.
Subiri niruhusiwe nimepumzishwa hapa kituo kidogo cha afya usiniulize ugonjwa

Jr[emoji769]
 
Aaahahahahhahaaa ngoja nikuitie mzee Babu Asprin akuletee makhafi na maji ya moto.

Ugua pole.
Usiniitie yule mzushi tafadhali atachonga sana[emoji30][emoji30][emoji30]
Nahavache thaana mghenji

Jr[emoji769]
 
Rafiki hii Mimi sijaribu, maana ikifika tumboni nusu saa nyingi kuna kamlio fulani kanatokaga tumboni kuashiria hali si shwani katasikika tu itabidi nitangulie mlango wa mwisho kushoto kusubiri matokeo [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Niko na kifuko cha magnesium tangu alfajiri...yani humu ndani kama yale mabomu ya mbagala[emoji30][emoji30][emoji30]
Tatizo uliingilia kazi si yako [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Rafiki hii Mimi sijaribu, maana ikifika tumboni nusu saa nyingi kuna kamlio fulani kanatokaga tumboni kuashiria hali si shwani katasikika tu itabidi nitangulie mlango wa mwisho kushoto kusubiri matokeo [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unataka watu watoe [emoji95] 1 hatari sana khaaah
 
Siamini kama hujaweka picha.
 
....HATARI☠️☠️👻🙈
 
daahh umenikumbusha ndondo langu liko kwnye frij ngoja nilipige microwave hapa nifate chapati kwa said.chapati 2 500 nzito km blanket.napiga ndefuu hapo hd jioni huku napiga water therapy
 
Maharage+mchele+viungo+sangara+mnavu+mtindi.....
Tumepigwa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…