[h=5]Chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu gani hicho?[/h]
Mauti inaanzia na herufi M.
Ni halal kwa kila mja kumfika mauti lkn ni haram kwa mja kujiua
Wanaume huenda makaburini kuzika moja wapo kati ya mara 3 kila siku. Yani asubuhi, mchana au jioni lkn mwanamke huenda mara moja tu kwa kuzikwa. ( hii kwa mujibu wa dini ya kiislam.)
Nyeupe kama barafu ni kwa wale waliotenda mema, mauti kwao huwa baridii bila machungu mengi.
Na nyeusi kama usiku ni kwa wale waovu, mauti kwao kwao huwa kizaazaa kama usiku wa giza totoro.
Nambie, nimepata au nimekosa
Ha ha ha ha haaaaah, mimi mwenyewe sijui kwa hiyo siwezi kukuambia aidha umekosa au umepataMauti inaanzia na herufi M.
Ni halal kwa kila mja kumfika mauti lkn ni haram kwa mja kujiua
Wanaume huenda makaburini kuzika moja wapo kati ya mara 3 kila siku. Yani asubuhi, mchana au jioni lkn mwanamke huenda mara moja tu kwa kuzikwa. ( hii kwa mujibu wa dini ya kiislam.)
Nyeupe kama barafu ni kwa wale waliotenda mema, mauti kwao huwa baridii bila machungu mengi.
Na nyeusi kama usiku ni kwa wale waovu, mauti kwao kwao huwa kizaazaa kama usiku wa giza totoro.
Nambie, nimepata au nimekosa
hahahahahahaha nimecheka kwa nguvuKitu gani kitakuwa cheupe na wakati huohuo cheusi, au labda saburi lako!
Mkuu una uhakika gani kama mshkaji dunia ameiaga?sio fresh man tusisingiziane vifo!Miaka mitano sasa mtoa mada amekufa mwaka 2014 hamjui poleni sana
Mauti mpenzio anakunywa mara tatu kwa cku??[emoji38] [emoji38] [emoji38]Jibu ni MAUTI
Mauti mpenzio anakunywa mara tatu kwa cku??[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app