Chemsha akili upate jibu sahihi

Chemsha akili upate jibu sahihi

[h=5]Chemsha akili yako unipe jibu la swali hili. Chemsha bongo, nicheupe kama barafu na Ni cheusi kama giza, kuliwa ni HARAMU na kunywa ni HALALI, kina herufi (5) na kinaanza na herufi (M) Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao, Je, ni kitu gani hicho?[/h]

Tukupe mji.
 
Mauti inaanzia na herufi M.

Ni halal kwa kila mja kumfika mauti lkn ni haram kwa mja kujiua

Wanaume huenda makaburini kuzika moja wapo kati ya mara 3 kila siku. Yani asubuhi, mchana au jioni lkn mwanamke huenda mara moja tu kwa kuzikwa. ( hii kwa mujibu wa dini ya kiislam.)

Nyeupe kama barafu ni kwa wale waliotenda mema, mauti kwao huwa baridii bila machungu mengi.

Na nyeusi kama usiku ni kwa wale waovu, mauti kwao kwao huwa kizaazaa kama usiku wa giza totoro.

Nambie, nimepata au nimekosa

aliyesema MAUTI kwa mujibu wa dini ya kiislam amepata .. Makofi tafadhali .....
 
Mauti inaanzia na herufi M.

Ni halal kwa kila mja kumfika mauti lkn ni haram kwa mja kujiua

Wanaume huenda makaburini kuzika moja wapo kati ya mara 3 kila siku. Yani asubuhi, mchana au jioni lkn mwanamke huenda mara moja tu kwa kuzikwa. ( hii kwa mujibu wa dini ya kiislam.)

Nyeupe kama barafu ni kwa wale waliotenda mema, mauti kwao huwa baridii bila machungu mengi.

Na nyeusi kama usiku ni kwa wale waovu, mauti kwao kwao huwa kizaazaa kama usiku wa giza totoro.

Nambie, nimepata au nimekosa
Ha ha ha ha haaaaah, mimi mwenyewe sijui kwa hiyo siwezi kukuambia aidha umekosa au umepata
 
Miaka mitano sasa mtoa mada amekufa mwaka 2014 hamjui poleni sana
Mkuu una uhakika gani kama mshkaji dunia ameiaga?sio fresh man tusisingiziane vifo!

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom