Chemsha bongo - Dakika 10

Chemsha bongo - Dakika 10

DASA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
1,031
Reaction score
302
Mtoto aliyekuwa karibu na marehemu aliulizwa 'ni nani kwako aliyefariki ?' akajibu 'kaka mkubwa wa mjomba wake na marehemu ni mjomba wangu' swali 'je marehemu ni nani kwa mtoto?'.
 
Nimepata jibu, nasubiri dakika 10 ili nitaje jibu!
 
Back
Top Bottom