cement JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 581 Reaction score 218 Nov 22, 2012 #1 [h=5]Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa Kiswahili[/h]
[h=5]Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa Kiswahili[/h]
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Nov 22, 2012 #2 temporarly closed - Imefungwa kwa muda
Kiba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 459 Reaction score 62 Nov 22, 2012 #3 Hii si chemsha bongo . Kwani wadau lugha ngeni ni chemsha bongoo?
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,357 Nov 22, 2012 #4 French English ferme' temporairement = temporarily closed Uwe unatumia google translator ni jawabu la lugha mbali mbaliGoogle Translate
French English ferme' temporairement = temporarily closed Uwe unatumia google translator ni jawabu la lugha mbali mbaliGoogle Translate