Chemsha Bongo from Crdb

Chemsha Bongo from Crdb

cement

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
581
Reaction score
218
crdb.jpg



[h=5]Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa Kiswahili[/h]
 
temporarly closed - Imefungwa kwa muda
 
Hii si chemsha bongo .
Kwani wadau lugha ngeni ni chemsha bongoo?
 
French English
ferme' temporairement = temporarily closed

Uwe unatumia google translator ni jawabu la lugha mbali mbaliGoogle Translate
 
Back
Top Bottom