CHEMSHA BONGO Hapa. ONYO: FORM 4 WoTe MsIFaNYe SwALi hILi.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
CHEMSHA UBONGO HAPA:
Kwa wale wakali wa
Hesabu za awali, aka Basic
Maths.
Onyo: Wale wenzangu wa
fomu nne msifanye hapa, mtaumbuka bureee, msije
nichorea Zombi hapa. SWALI: Una kengele tatu. Ya
kwanza inalia baada ya dk
25, ya pili baada ya dk 40
na ya tatu ni dk 50. Hizi
kengele kwa mara ya
kwanza zililia zote kwa pamoja saa tatu na nusu
asubuhi, yaani 9:30am.
Je, zitalia tena kwa mara ya
tatu saa ngapi??
 
Kwa mara ya tatu zitalia asubuhi hiyohiyo kwenye saa 10:20 a.m, 10:50 a.m na 11:00a.m kwa kengele ya kwanza, pili na ya tatu.
 
saa sita na dakika hamsini au saa saba kasoro dakika kumi(12:50 pm)
 
Saa 6na dk hamsini hiyo, au saa saba kasoro dk 10
 
CHEMSHA UBONGO HAPA:
Kwa wale wakali wa
Hesabu za awali, aka Basic
Maths.
Onyo: Wale wenzangu wa
fomu nne msifanye hapa, mtaumbuka bureee, msije
nichorea Zombi hapa. SWALI: Una kengele tatu. Ya
kwanza inalia baada ya dk
25, ya pili baada ya dk 40
na ya tatu ni dk 50. Hizi
kengele kwa mara ya
kwanza zililia zote kwa pamoja saa tatu na nusu
asubuhi, yaani 9:30am.
Je, zitalia tena kwa mara ya
tatu saa ngapi??

Kengele ya kwanza italia kwa mara ya tatu after 50minutes(saa 10:20am),kengele ya pili italia after 80minutes(saa 10:50am),na kengele ya tatu italia after 100minutes(saa 11:10am). As zote zitalia kwa mara ya kwanza saa 9:30am.
 
mwalim mzuri wewe.
 
saa sita na dakika hamsini au saa saba kasoro dakika kumi(12:50 pm)

Alikosea kidogo kuuliza hapo mwishoni.yeye kauliza kwa mara ya tatu zitalia saa ngapi?(jibu lake kama nilivyojibu hapo juu)kama angeuliza zitalia mara ya tatu KWAPAMOJa saa ngapi(ibu ni saa 16:10 JIONI).NA ZITALIA KWA MARA YA PILI KWA PAMOJA SAA12:50 MCHANA.
 
hapo inaelekea ulifaulu vidudu hawajakuchakachua
 
Back
Top Bottom