Chemsha bongo jamani

Chemsha bongo jamani

super black Boy

Senior Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
135
Reaction score
169
Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi?
 
Hongera mkuu kuna watu wanaringa eti wanasema hawawezi kuvunja mayai kwa kuwa ni mazito!

Nalog off
 
Back
Top Bottom