Chemsha bongo,Katiba ya mbovu ya Sasa inasema,RAIS akifa ,makamu wa RAIS anatawala.

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Chemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.

Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.

Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?

Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?

Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?

Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.

Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?

Wanazuoni nifahamisheni.
 
Kwa hizi siasa zetu zenye chama kimoja tu ambacho kinachoonekana kuwa na nguvu , Bunge huwa halikatai jina linalotoka kwa Rais mpya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama, wao wanapitisha tu kwa hiyo, huyo Makamu wa pili anakuwa amechaguliwa na mtu mmoja tu, siyo wananchi wala wabunge.
 
Chemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.

Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.

Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?

Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?

Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?

Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.

Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?

Wanazuoni nifahamisheni.
Godel's Loophole.
 
Dalili zinaonyesha Ndejembi anaenda kutawala huku akituwekea Mzanzibari meingine kuwa makamu wake
 
Bila katiba Bora Tanzania inaenda ku crush huko mbele.
Nikisema ku crush namaanisha vurugu Kali Sana ambazo Wala hazitakua za Gen Z,bali za all men in uniforms kutoka kuoa Kona ya Nchi kila mmoja na Imani yake.
 
Chemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.

Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.

Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?

Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?

Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?

Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.

Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?

Wanazuoni nifahamisheni.
Tanzania imeiga hiyo kutoka Marekani ambao The Incumbent President akifa, Makamu wa Rais anakuwa Rais. Kama kwa hili Katiba yetu ni mbovu, basi ya Marekani tuliyoiga ni mbovu zaidi!
 
Chemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.

Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.

Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?

Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?

Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?

Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.

Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?

Wanazuoni nifahamisheni.
Hiyo kwani ina shida mradi mjue mtu anakua makamu ni mtu anaweza kua rais sio kumpa mtu umakamu kiti maalum kwa wanawake. Ikitokea ajali mnakua na rais mradi rais.
Kwangu nachoona kwenye katiba ni kuweka duru la pili urais ikiwa raundi ya kwanza hakuna mshindi aliyepata zaidi ya asilimia 50. Nakumbuka hii mkapa alibadili kwa kisingizio eti kuepa gharama lakini kwa demokrasia ni upungufu mkubwa.
 
Back
Top Bottom