Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Basi kaa pembeni chawa unatafuta nini hapa hamna nyuzi za CCM ukajadili?Swali liko wapi
Godel's Loophole.Chemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.
Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.
Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?
Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?
Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?
Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.
Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?
Wanazuoni nifahamisheni.
Not that easy labda kwa kutumia uchawiKwa katiba hii, VP akiwa mlafi was madaraka, anambaluza P naye anachukua Nchi, Lol
Hakika kabisa.Kwa katiba hii, VP akiwa mlafi was madaraka, anambaluza P naye anachukua Nchi, Lol
Absolutely YesGodel's Loophole.
Dalili zinaonyesha Ndejembi anaenda kutawala huku akituwekea Mzanzibari meingine kuwa makamu wakeChemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.
Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.
Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?
Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?
Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?
Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.
Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?
Wanazuoni nifahamisheni.
Uchawi nayo ni mbinu aisee.Not that easy labda kwa kutumia uchawi
Hiyo ndio Hali Halisi.Dalili zinaonyesha Ndejembi anaenda kutawala huku akituwekea Mzanzibari meingine kuwa makamu wake
uchawa uko wapiBasi kaa pembeni chawa unatafuta nini hapa hamna nyuzi za CCM ukajadili?
Sijauliza swali,nimeandika chemsha bongoSwali liko wapi
Tanzania imeiga hiyo kutoka Marekani ambao The Incumbent President akifa, Makamu wa Rais anakuwa Rais. Kama kwa hili Katiba yetu ni mbovu, basi ya Marekani tuliyoiga ni mbovu zaidi!Chemsha bongo.
Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo.
Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata.
Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani?
Mfano mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu RAIS akifa maana yake, Makamu wa RAIS atakua RAIS kwa miaka minne iliyobaki,je hiyo ni sawa?
Huyu RAIS mrithi wa kiti Cha Urais nae atachagua Makamu wake.
Vipi ikitokea huyu Rais mrithi nae akifa mwaka wa pili toka yule RAIS aliechaguliwa na wananchi alipokufa ?
Huyu Makamu wa RAIS wa pili nae atakua RAIS kwa kipindi kilichobaki.?
Ikumbukwe kwamba nchi ikiwa imepoteza Marais wawili ndani ya miaka miwili itabaki miaka mitatu kabla ya uchaguzi Mkuu mwingine.
Matokeo yake,nchi itaongozwa na RAIS na Makamu wake ambao hawakuahi kuchaguliwa na wananchi.
Hii imekaaje?
Wanazuoni nifahamisheni.
Hiyo kwani ina shida mradi mjue mtu anakua makamu ni mtu anaweza kua rais sio kumpa mtu umakamu kiti maalum kwa wanawake. Ikitokea ajali mnakua na rais mradi rais.Chemsha bongo.