Tuchekeche vichwa kidogo
Muuza nguo anapewa nguo za kuuza kwa makubaliano ya kurejesha pesa ya nguo atazoweza kuuza, kapata mtaji wa kuanza kununua nguo zake, hivyo kuna baadhi ya nguo anaendelea kupewa na kiwanda kwa utaratibu ule ule wa kurejesha mauzo na nyingine ananunua kwa pesa yake kwenye kiwanda hicho.
Tarehe 3 alinunua nguo kwa pesa yake, aliingiza shilingi milioni 2 kwenye account ya kiwanda cha nguo.
Tareh 14 aliingiza shilingi milioni 12 kwenye account ya kiwanda, ikiwa shilingi milioni 10 ni ya marejesho ya nguo alizopewa na kiwanda, na pesa iliyobaki shilingi alinunua mzigo wake.
Leo tarehe 22 inatakiwa arejeshe pesa ya marejesho ya nguo za kampuni, Jumla ya mauzo yote ya kuanzia mwanzo wa mwezi ni shilingi milioni 22, je, anadaiwa shingapi na kiwanda.