Chemsha Bongo.. Mshindi Kujinyakulia Kitenge toka Nchini Kongo.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Swali: Ni timu gani ya mpira wa miguu iliyowahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa kushinda mechi zote?
[i.e., yenyewe ilikua inashinda tu, haikuwa kupata sare wala kufungwa]
Jibu: .................................................................................................................................................................................

Kipindi nasubiri majibu nami nilifanya utafiti wangu, nikapata majibu haya;
1. Msimu wa 2003–04, Arsenal alichukua ubingwa wa Premier League bila kufungwa. Kati ya mechi 38, alishinda 26, 12 alidroo na 0 alifungwa.
2. Msimu wa 2011–12, Juventus alichukua ubingwa wa ligi bila kufungwa. Kati ya mechi 38, alishinda 23 wins, 15 alidroo na 0 alifungwa.
3. Msimu wa 2016–17, Celtic alichukua makombe matatu ndani ya msimu mmoja i.e., Scottish Premiership, Scottish Cup na Scottish League Cup. Katika msimu huu, Celtic alidroo mechi 3 tu, zilizobaki alishinda.

NB: Mshindi wa hii Chemsha Bongo atajinyakulia Kitenge bora kabisa toka nchini Kongo.

Nikiripoti toka katika ofisi ya ustawi wa jamii, ambapo nimeletwa na Wife kwa kosa la kumtandika na Kitenge.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
 
Dsm Young Africans a.k.a Yanga.
 
AC Milan msimu wa 1991-1992 chini ya Fabio Capello walishinda mechi 22 kisha wakadroo mechi 12 hawajawahi kupoteza hata mmoja.
 
Mkuu huyu naye hakuweza kushinda mechi zote.. kuna gemu alidroo.
 
Back
Top Bottom