Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vizuri mkuu, unasoma hadi nukta vichwa vya namba utavijua tuuu
Nguo inauzwa dukani 10,000 wewe huna hela ukaamua kwenda kukopa kwa dada yako shilingi 5000 na kwa kaka yako shilingi 5000 ukawa na shilingi 10,000 ukaenda kwa anaye uza nguo ukapatana nae shilingi 9,7000 na ukarudishiwa shilingi 300 na ukaamua kupunguza deni kwa kaka 100 na dada 100 na ukabakia na 100 kwa hiyo deni la dada 4900 na deni la kaka 4900 ukijumlisha 9800 ukiongezea na ela ulio baki nayo 100 inakua 9900 je 100 kiko wapi ????????
Asante kwa kuongeza siku zangu za kuishi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
its very simple hyo pesa haijapotea wala nini iko ivi chukua hyo pesa ambayo ulinunulia nguo ambayo ni 9700 ukiigawanya kwa mbili ni 4850 ambayo kila m2 alikuchangia katika kununua ivyo ukiizidisha mara mbili unapata 9700 ukijumlisha mia mia uliyoirudisha inakuwa 9900 na ile mia iliyobaki inakua 10000
its very simple hyo pesa haijapotea wala nini iko ivi chukua hyo pesa ambayo ulinunulia nguo ambayo ni 9700 ukiigawanya kwa mbili ni 4850 ambayo kila m2 alikuchangia katika kununua ivyo ukiizidisha mara mbili unapata 9700 ukijumlisha mia mia uliyoirudisha inakuwa 9900 na ile mia iliyobaki inakua 10000
Gawanya deni 9700kwa wa wawili alafu walipe kila mmoja na jumlisha na uliyobaki nayo
Cash in:
kutoka kwa kaka - 5000
kutoka kwa dada - 5000
Jumla 10000.
Cash out:
Kununua nguo- 9700
Kumlipa kaka -100
Kumlipa dada -100
Jumla 9900
Balance jumla cash in -jumla cash out.
10000-9900=100.
mfukoni alibakiwa na 100, na cash flow inaonyesha balance ni 100.
hivyo hakuna mia iliyopotea.
Big up!, hesabu sio machungwa yanayoweza kuoza!kama hataki akaendelee kusomea kitandaniCash in:
kutoka kwa kaka - 5000
kutoka kwa dada - 5000
Jumla 10000.
Cash out:
Kununua nguo- 9700
Kumlipa kaka -100
Kumlipa dada -100
Jumla 9900
Balance jumla cash in -jumla cash out.
10000-9900=100.
mfukoni alibakiwa na 100, na cash flow inaonyesha balance ni 100.
hivyo hakuna mia iliyopotea.
Cash in:
kutoka kwa kaka - 5000
kutoka kwa dada - 5000
Jumla 10000.
Cash out:
Kununua nguo- 9700
Kumlipa kaka -100
Kumlipa dada -100
Jumla 9900
Balance jumla cash in -jumla cash out.
10000-9900=100.
mfukoni alibakiwa na 100, na cash flow inaonyesha balance ni 100.
hivyo hakuna mia iliyopotea.
Mkuu waliotunga kanuni za hesabu hawakuwa wajinga na hizo kanuni hazikutungwa kwa siku moja, Mali uloyonayo mkononi na ile unayodaiwa huwezi kuzijumlisha pamoja na zote zikawa positive, tatizo lako unajumlisha hela uliyo nayo na ile unayodaiwa kama vile unayo. Mali uliyonayo mkononi zinaenda pamoja na mali unayodaiwa zinaenda pamoja na baada ya hapo unaweza kutafuta balance kama ukilipa utabakiwa na kitu au utaendelea kudaiwa. Sasa wewe unapojumlisha 9800 ambayo ni deni na 100 uliyonayo mkononi unapata 9900 basi niambie hiyo 9900 ni nini? Ni mali uliyonayo au ni deni?5000 - 100 = 4900
5000 - 100 = 4900.
4900 × 2 = 9800.
ukumbuke kule ulibakiwa na 100 tu.
9800 + 100 = 9900. Ile 100 imekwenda wapi?
Nachotaka kuelewa ni kwamba ni nini kinafanya hesabu hiyo kutoa jibu ambalo si sahihi.
{Error iko wapi?
Kwanini mia isionekane?
Kwanini mia ipotee?}
mkuu majibu yote yale hayajatosha, kwamba hela imebaki kwenye nguo?hivi ungepunguziwa ukauziwa 9500, nawe kuamua kuwalipa uliowakopa 200 mmoja na mwingine 200, si kila mmoja angekudai 4800!Jumla yake ni 9600 ilhali wewe una 100 ukijumlisha na deni ni 9700!Utaanza kuuliza 300 imeenda wapi?Utakuwa mwehu lazima!Lakini kwa sababu ya utani tumechukulia poa tu sidhani kama kweli unakomaa mia imeenda wapi!Cash in:
kutoka kwa kaka - 5000
kutoka kwa dada - 5000
Jumla 10000.
Cash out:
Kununua nguo- 9700
Kumlipa kaka -100
Kumlipa dada -100
Jumla 9900
Balance jumla cash in -jumla cash out.
10000-9900=100.
mfukoni alibakiwa na 100, na cash flow inaonyesha balance ni 100.
hivyo hakuna mia iliyopotea.
Cash in:
kutoka kwa kaka - 5000
kutoka kwa dada - 5000
Jumla 10000.
Cash out:
Kununua nguo- 9700
Kumlipa kaka -100
Kumlipa dada -100
Jumla 9900
Balance jumla cash in -jumla cash out.
10000-9900=100.
mfukoni alibakiwa na 100, na cash flow inaonyesha balance ni 100.
hivyo hakuna mia iliyopotea.
Ulimhola baba nyakwana?