Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Hahaa! Duh! BaaashteC-10,000
Umemrudishia mteja 8,000 na mkate umempa wenye thamani ya 2,000
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000
B. 18,000
C. 10,000
D. 20,000
E. 8,000
F. 2,000
Jaribu
ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA
hahahaaa [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaa! Duh! Baaashte
hahahahaaa mbona maelezo kitonga kabisa hayo....[emoji3]Wacha maneno weka muziki...umezunguuka sana.
Watu wengine kueleweshwa kitu huwa awahitaji maelezo mengi.
Unawachanganya..
Jirani yako hujampa umemrudishia, hujapotezabaada ya dk chache umetoa elfu kumi halali kumpa jirani yako!!!!!........??
U are rightJibu ni D. 20,000/-
Which comes from 8,000/- ya chenji + 2,000/- ya mkate + 10,000/- original uliyomrudishia jirani.
So so simple like that yani.
haaaahaaaahhh daah nimecheka sana mwanangu umeuaHasara jumla sh 20,000
Sh 2,000 bei ya mkate, sh 8,000 chenji kwa mteja na sh 10,000 kumlipa jirani
Short ya mkate umeiweka wapB: 18,000/. Yaani zile elfu nane alizoondoka nazo huyo tapeli na hizi elfu kumi ulizomlipa jirani.
elfu kumi uliyo mpa jiran usichikulie kama ni hasara ila umemrudishia ile elfu kumi yake aliyo kupa tu ile elfu nane na mkate ndio hasara yakobaada ya dk chache umetoa elfu kumi halali kumpa jirani yako!!!!!........??
apa umekoroga chukulia ile elfu kumi ni yakwako hukuiomba kwa jirani alaf mrudishie elfu nane kwahiyo elfu mbili uliyo ikata hapo ni faida au hasara yako ni ile elfu ambayo n fake kwahyo una loss ya elfu kumi tuHasara sh 8000
Kiuhalisia jirani anatolewa kwenye hesabu katoa pesa kisha karudishiwa.
Pili Jamaa ilibid apate hasara ya 10000 ila alibakiza 2000 halali km mauzo ambayo ilibaki toka kwa jirani.
Hvo jamaa anapata hasara 8000.
Mkuu Bashite sikuhizi 20/- hata pipi hununui, kwanza hiyo coin haipo sikuhiziHasara ni 20
BashiteHasara jumla sh 20,000
Sh 2,000 bei ya mkate, sh 8,000 chenji kwa mteja na sh 10,000 kumlipa jirani
Bashiteile 10000 inayozunguka mda wote toka kwa mteja kuja kwako mpka kwa jirani ni fake...kwa hyo itoe kwny mahesabu..yn tupa kapuni..
inshu imeanzia hapa...
jirani yako alikupa change ya sh10000 tena halali. sasa tayr una 10000 halali,,, katika hela ile alokupa jirani unampa mteja sh 8000 na mkate wake wa 2000...yani imepotea kama ilivo,,,, inamana hapo wew dukan hujaingiza kitu......isipokuwa umepoteza 10000 kwa kumpa mteja 8000 na mkate juu.......atakua anajisifu sana huko aliko mana nisawa na kusema umempa vyote hvo bureee............haya tuendelee
baada ya kama dk 5 jirani anakustua,,, oyaa hela ulonipa ni fake,,, bs kwa mara nyngne tena unaamua kuchukua 10000 yako nzuri kabisa na kumpa jirani.
HITIMISHO
8000 Ulompa mteja+2000 ya mkate+10000 ulompa jirani-10000 fake=20000.
umepata hasara ya sh 20000.
mlatinoh king