spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
18, 000/= hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali fikirishi ile elfu nane ilitoka kwa nani? Kama kweli imepotea 18000.
Jirani asingekuja jamaa asingekua na hasara.
Ile ni chenchi alipewa na duka la jirani sio pesa yake kutoka dukani.Ile 8000 ilitoka kwa muuza duka kwa sababu baadae aliirudisha kwa jirani yake.
Tafakari vzr utaelewaSasa wewe ndio unakosea kabisa!
Ile 10000 angeipeleka wapi kama sio hasara
C: TEN thousandaWewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000
B. 18,000
C. 10,000
D. 20,000
E. 8,000
F. 2,000
Jaribu
ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA