Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

Duh, kumbe ni sahihi serikali kuajiri walimu wa sayans na kuachana na walimu wa art.

Mimi huwa naamin kuwa mtoto akijua hesabu huwa anakuwa na uelewa mkubwa wa kuchanganua mambo ( yaan Ku reason mambo) yaan hii ina prove kuwa jamii forum ina members wa aina gani.

Duh inasikitisha sana. Halafu wengine ni maprofesa apo au watu wenye elimu ya masters.

Dah, wakuu someshen watoto wenu hesab ili ziweze ku un lock vichwa vyao.

Alamsik. Jibu ni tsh 10,000/
 
Ile 8000 ilitoka kwa muuza duka kwa sababu baadae aliirudisha kwa jirani yake.
Ile ni chenchi alipewa na duka la jirani sio pesa yake kutoka dukani.
Inamaana jirani ndio alikuwa na hasara ya 10000 baadae akaja kudai hela halali akapewa 10000. So muuza duka ikawa imekula kwake.
Think twice.
 
Kumbuka muuza duka hakutoa pesa mfukoni mwake zaidi ya kuchukua pesa kwa jirani na kumlipa Mteja, hivyo baada ya jirani kudai pesa ndipo sasa muuuza duka akatoa sh 10000 kutoka mfukoni mwake
 
hahahahha lol, yaaan mpk sasa hamjaelewa tu kua yule jirani kawekwa ili kukudanganya, hapa picha ni wewe na mteja wako, fikiria zaidi,

ww unauza duka la mikate, kaja mtu katoa elfu kumi ya bandia na ukamrudishia chenji ya elfu 8 na mkate juu, je wewe utakua na hasara ya shilingi ngapi???

Basi ndio jibu sasa hilo ila huyo jirani ni mzunguko tu ili kukufanya ufikiri zaidi lakini jibu ni simple mnooo.

Hahaha hesabu raha.
 
Jamani swali ni simple sana just fijiri mpk mteja anaondoka nani alikuwa na hasara na nibya sh ngapi?
 
C: TEN thousanda

assume hivi.
Kwamba kbla ya yule jamaa kuja ulishaomba chenji ya ile buku ten toka kwa jirani yako, kwa kutumia hela halali. Hapo Hakuna hasara.
Mteja wako anakuja na hela feki, unatumia ile chenji kumhudumia.
Unampa mkate na sh 8,000, wakati yeye anakupa Buku ten ya hela Feki.
So, hasara hapo ni hiyo Buku 10 uliyobakia nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…