Chemsha bongo yangu ya leo hii hapa ninaomba munijibu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
SWALI:

UNAPEWA TAARIFA KUA MKEO WA
NDOA YUPO NA HAWARA YAKE (kibuzi),,

Garden ILE UNAFIKA PANDE ZILE


UNASIKIA HAWARA YAKE


ANAMWAMBIA MKEO..''Baby chukua laki saba hizi kampe mumeo mwambie


zimsaidie kwa leo na kesho ila ikifika


mwisho wa mwezi nitakupigia

tukutane sehemu nikupe milioni 50

umpatie afanye Biashara ili awe bize

asitusumbue Baby wangu''..#VIPI UTAANZISHA Bifu AU UTAZISUBIRI
MILIONI 50.....????
 
Itategemea na njaa itakavyokuwa. Lakini principle yangu ni kukataa fedheha no matter what. Mkuu MziziMkavu heshima kwanza. Nani kasema mwanaume anahongwa! Labda mwanaume suruali.
NB: njaa haina baunsa.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume atakae kua mpole kwa mtama wa style hiyo, sitoshanga nikisikia na huyo mume nae kang'wenywa na huyo hawara wa mkewe!
 
Nachukua mil 50 nasepa zangu namwachia na mke, kwa sababu mke wa aina hiyo simuhitaji. Halafu hata nisipochukua wao wataendelea tu na mapenzi yao.
 
itategemea na njaa itakavyokuwa. Lakini principle yangu ni kukataa fedheha no matter what. Mkuu mzizimkavu heshima kwanza. Nani kasema mwanaume anahongwa! Labda mwanaume suruali.
Nb: Njaa haina baunsa.

thats my king
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…