chemsha bongo zingine...mmmmh

chemsha bongo zingine...mmmmh

Shukuru

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2007
Posts
747
Reaction score
16
Mwalimu Kibogoyo aliingia darasani kufundisha somo la Kiingereza na kabla ya kuanza kufundisha, akaanza kwa chemsha bongo ndipo alipomuuliza mwanafunzi mmoja swali, ilikuwa hivi:

Mwalimu: Nyumba ya ghorofa kwa kiingereza inaitwa Losheni, je nyumba ndogo inaitwaje? Enhe! Kifudu jibu.

Mwanafunzi: Inaitwa pafyumu

e e jamani.
 
Back
Top Bottom