Chenua Nkuchebe
Member
- Jul 18, 2017
- 90
- 119
Hmm.. Kama una make sense.. But hizo bikira za kutoa mara 3 kwa siku ziko wapi.?Mwanamke=kutoa birika
young kilimanjaro
DaslamHmm.. Kama una make sense.. But hizo bikira za kutoa mara 3 kwa siku ziko wapi.?
Hehee.. Jibu swali mkuuDaslam
Mm jibu sijui chief.....lada unipe hint kdgoHehee.. Jibu swali mkuu
Mkuu mwenyewe chenga hapo.. Naona mapicha picha tuMm jibu sijui chief.....lada unipe hint kdgo
Heheee.. Kiongozi changamsha bongo tu hii.. Lazima ufikiriNi nini hicho mkuu unajua hali ilivyo mbaya ya Uchumi na wewe unatupa kazi ngumu utapata laana ujue,maana hata Mungu atakuwa amepunguza dhambi kwenye baadhi ya mambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.. Kulala kila mtu analala daily. Huo mkuyenge unatembeza kila siku.?Mwanaume kunya=kukojoa=kulala=mwanamke kupigwa mkuyenge [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app