Chemsha bongo

Chemsha bongo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
IMG-20180125-WA0121.jpg
 
teh teh teh duh kumbe na hum kuna vilaza vya SGR doh
 
kapoteza jumla ya sh 100/-

kwa maana alivoibiwa sh 100 kwa mara ya kwanza alikua kapoteza yote sh 100/-, yule mwizi alivokuja tena kununua na kutoa ile sh 100/= muuza duka alikua hajaibiwa kitu, ila baada ya kurudisha sh 30/- na thamani ya kitu cha sh 70/- jumla yake inakuja sh 100/- tena.
 
Kweli hesabu ngumu... Kuna mijitu . Imesema 200, 150, nacheka kihutu.
 
Back
Top Bottom