kapoteza jumla ya sh 100/-
kwa maana alivoibiwa sh 100 kwa mara ya kwanza alikua kapoteza yote sh 100/-, yule mwizi alivokuja tena kununua na kutoa ile sh 100/= muuza duka alikua hajaibiwa kitu, ila baada ya kurudisha sh 30/- na thamani ya kitu cha sh 70/- jumla yake inakuja sh 100/- tena.