Hii nzuri sana.Waziri Mkuu...
Nimecheka sana. Vishindo vya paka vinaamsha mtaa mzimaanaweza akawa paka jike akiwa kwenye heat
Jaguar Mkuu, umefanya vyema, badala ya kuchekesha au kufunza linaweza kuudhi. So hold up!Samahani MAMMAMIA,napata jibu moja baya sana na la aibu,kwa kweli siwezi kuliandika hapa!