kumbe 17milion tu. Inabidi nafanye halaka ninunue ka ist kangu mapema nisije kosa nambaKuna alphabet 26 hivyo AAA mpaka ZZZ Ni sawa na 26x26x26 na pia Kuna T001 mpaka T999
Hivyo 26x26x26x999 Ni 17,558,424
Hii ndio idadi ya magari 17558424
Mkuu hapo kumbuka kuna herufi huwa haziwekwi mwanzo mf: o na iKuna alphabet 26 hivyo AAA mpaka ZZZ Ni sawa na 26x26x26 na pia Kuna T001 mpaka T999
Hivyo 26x26x26x999 Ni 17,558,424
Hii ndio idadi ya magari 17558424
Mtoa Mada hajaweka hiko kigezo,Mkuu hapo kumbuka kuna herufi huwa haziwekwi mwanzo mf: o na i