Chemsha bongo

Chemsha bongo

teledam

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
927
Reaction score
1,239
Mwalimu akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wake akawaambia "Kama jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa jumamosi" je mwl aliitoa kauli hiyo siku gani?

Binafsi sina jibu😝😝
 
JUMATATU

Jumatatu kwa sababu hii:
Anaposema kama jana ingelikuwa kesho, maana yake anamaanisha Jumapili(ambayo ndio jana(siku kabla ya jumatatu)) ingelikuwa kesho basi leo ingekuwa jumamosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wake akawaambia "Kama jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa jumamosi" je mwl aliitoa kauli hiyo siku gani?

Binafsi sina jibu[emoji13][emoji13]
Tukikupa jibu
Na wewe
Utatupatia dawa ya kutibu Covid 19 ?
 
Simple: "kama jana ingekuwa ijumaa basi kesho ingekuwa kumapili.kwahiyo leo ni jumamosi. "
Kauli hii ilitolewa siku ya siku ya alhamis .: akimanisha kama jana(jumatano) ingekuwa kesho(ijumaa) bas leo ingekuwa jumamosi.
 
JUMATATU

Jumatatu kwa sababu hii:
Anaposema kama jana ingelikuwa kesho, maana yake anamaanisha Jumapili(ambayo ndio jana(siku kabla ya jumatatu)) ingelikuwa kesho basi leo ingekuwa jumamosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawaje sikuwa na jibu ila hili limenishwashi giniaz
 
Simple: "kama jana ingekuwa ijumaa basi kesho ingekuwa kumapili.kwahiyo leo ni jumamosi. "
Kauli hii ilitolewa siku ya siku ya alhamis .: akimanisha kama jana(jumatano) ingekuwa kesho(ijumaa) bas leo ingekuwa jumamosi.
Bakoraaa😆😆
 
Back
Top Bottom