Xaxa tupe jibu maana cc tumexhindwa mkubwa๐๐yani ningekuwa mwl hapa,full kucharaza watu bakora๐๐
Xaxa tupe jibu maana cc tumexhindwa mkubwa๐๐yani ningekuwa mwl hapa,full kucharaza watu bakora๐๐
Tukikupa jibuMwalimu akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wake akawaambia "Kama jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa jumamosi" je mwl aliitoa kauli hiyo siku gani?
Binafsi sina jibu[emoji13][emoji13]
Ingawaje sikuwa na jibu ila hili limenishwashi giniazJUMATATU
Jumatatu kwa sababu hii:
Anaposema kama jana ingelikuwa kesho, maana yake anamaanisha Jumapili(ambayo ndio jana(siku kabla ya jumatatu)) ingelikuwa kesho basi leo ingekuwa jumamosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bakoraaa๐๐Simple: "kama jana ingekuwa ijumaa basi kesho ingekuwa kumapili.kwahiyo leo ni jumamosi. "
Kauli hii ilitolewa siku ya siku ya alhamis .: akimanisha kama jana(jumatano) ingekuwa kesho(ijumaa) bas leo ingekuwa jumamosi.