Chemsha bongo

Joined
May 29, 2013
Posts
62
Reaction score
42
:CHEMSHA BONGO: Nataka kujua kama ww ni mtoto wa TOWN, Sehemu gani hapa TANZANIA kuna majengo ya kifahari na hiyo hiyo sehemu jina lake ni chombo cha kupikia jikoni hilo hilo jina ni jina la msanii maarufu wa bongo movie naomba jibu?
 
.....chombo cha kupikia..tena ni msanii..na ni mji uliojengeka.. nikupe mji? 🙂
 
duu mbona mtihani huo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
:chemsha bongo: Nataka kujua kama ww ni mtoto wa town, sehemu gani hapa tanzania kuna majengo ya kifahari na hiyo hiyo sehemu jina lake ni chombo cha kupikia jikoni hilo hilo jina ni jina la msanii maarufu wa bongo movie naomba jibu?

swali lako ni jibu tosha kabisa.kama vipi pigia mstari.
 
Ebos! Si tumeshindwa, utupe jibu letu meeeeeeeen!
Haya Nakupa mji.... Nendaaaa...... Mbagala, kule utainjoy usafiri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…