Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Ntarejea baadae kwa majibu naona kichwa kinatoa majibu ya lager tu..ila umeleweka vyema
Mkuu mimi nakupa mji...nenda, "Cairo"-kuna kuku watamu sana huko!!!!
Mmmmh,nina allergy na kuku mkuu.Sie wengine si wajua hatuli nyama mkuu,nipe mji mwingine huko kwa Farao hapana.
Nenda sumbawanga
Kuna kampuni mbili zinazojiusisha na utabiri wa hali ya hewa,kampuni A 45% ya utabiri wake uwa sahihi na kampuni B 25% ya utabiri wake uwa sahihi.Cha ajabu sasa watu wengi waliupenda utabiri wa hali ya hewa wa kampuni B zaidi kiasi cha kupelekea kampuni A kufilisika,Wewe unafikiri ni nini kilitokea mpaka hii hali ikatokea?
Naona ziiiiiiiii
Ngoja nitoe jibu la hili swali la kwanza labda itasaidia kupata jibu la swali la pili.
Watu waliupenda utabiri wa hali ya hewa wa kampuni A kwa sababu 75% ya utabiri wake ulikuwa si sahihi hivyo ni rahisi kujua nini kitatokea kesho kulingana na utabiri wa kampuni husika.Mathalani,utabiri unasema kesho mvua itanyesha,kunauwezekano wa 25% wa mvua kesho kunyesha na kuna uwezekano wa 75% wa mvua kutokunyesha.So what do you do,unasikiliza utabiri kisha unajua ya kwamba yote yaliyotabiriwa kuna uwezekano wa 75% wa kutokutokea.
Tofauti na kampuni B ambayo kuna uwezekano wa 45% wa kutokea na 55% ya kutokutokea yale yaliyotabiriwa hivyo uncertainity inakuwa kubwa kidogo na unashindwa uchukue lipi.
Sasa tujaribu kudadafua swali lapili kwani linashabihiana na hili.
Easy kwa swali la pili!
huyu jamaa alijua kama rafiki yake ana uwezo wa kupata 30% right! so he has 70% wrong. In that case, mwenzake akiandika TRUE, yeye anaandika FALSE!
kitu kama hicho mkuu..
Piga thanks mkuu..!!!!You got it mkuu,ingawa nimegundua nilikosea jinsi ya kuuliza swali,I apologise for that.Mtihani unatakiwa usiwe na penalt pindi ukikosea then your answer will be correct.I have another for Tommorow,have alovely time.
Wacha ma great thinker tuliendeleze libeneke..!hapa hola