Chemsha chemsha tena

Chemsha chemsha tena

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2008
Posts
777
Reaction score
50
Kuna kampuni mbili zinazojiusisha na utabiri wa hali ya hewa,kampuni A 45% ya utabiri wake uwa sahihi na kampuni B 25% ya utabiri wake uwa sahihi.Cha ajabu sasa watu wengi waliupenda utabiri wa hali ya hewa wa kampuni B zaidi kiasi cha kupelekea kampuni A kufilisika,Wewe unafikiri ni nini kilitokea mpaka hii hali ikatokea?
 
Sina hakika kama chemsha imekamata maana na ona watu wanachungulia na kuondoka,Ngoja niongeze swali lingine linalofanana nahilo hapo juu.

Chuo kikuu Cha Muhimbili kuna somo linaitwa Physiology,mitihani ya somo hili uwa ni multiple choices and you have to say if the options are true or false according to the statement above, the marks are given in a one to one function,yaani ukipata unapewa mark moja na ukikosa unapata negative moja,hii ikiwa na maana ya kwamba ukipata 50 na kukosa 50 hapo ndugu yangu unasifuri,kwa waliosoma Muhimbili hili wanalijua vizuri

Sasa basi kuna jamaa ambaye kipindi cha mtihani ukopi kila anachoandika rafiki yake na ofcourse rafiki yake analijua hilo kwa hiyo siku zote marks zao zinafanana.Mtihani wa kwanza wa physiology wote wlipata 30%,halikadhalika mtihani wa pili wote walipata 30% lakini mtihani wa tatu wa physiology jamaa alipata 70% na rafiki yake ambae ndio kipanga wake akabaki na ile ile 30%.can you do the maths here.What happened
 
Ntarejea baadae kwa majibu naona kichwa kinatoa majibu ya lager tu..ila umeleweka vyema
 
Mkuu mimi nakupa mji...nenda, "Cairo"-kuna kuku watamu sana huko!!!!
 
Mmmmh,nina allergy na kuku mkuu.Sie wengine si wajua hatuli nyama mkuu,nipe mji mwingine huko kwa Farao hapana.
 
Kuna kampuni mbili zinazojiusisha na utabiri wa hali ya hewa,kampuni A 45% ya utabiri wake uwa sahihi na kampuni B 25% ya utabiri wake uwa sahihi.Cha ajabu sasa watu wengi waliupenda utabiri wa hali ya hewa wa kampuni B zaidi kiasi cha kupelekea kampuni A kufilisika,Wewe unafikiri ni nini kilitokea mpaka hii hali ikatokea?

Naona ziiiiiiiii

Ngoja nitoe jibu la hili swali la kwanza labda itasaidia kupata jibu la swali la pili.
Watu waliupenda utabiri wa hali ya hewa wa kampuni A kwa sababu 75% ya utabiri wake ulikuwa si sahihi hivyo ni rahisi kujua nini kitatokea kesho kulingana na utabiri wa kampuni husika.Mathalani,utabiri unasema kesho mvua itanyesha,kunauwezekano wa 25% wa mvua kesho kunyesha na kuna uwezekano wa 75% wa mvua kutokunyesha.So what do you do,unasikiliza utabiri kisha unajua ya kwamba yote yaliyotabiriwa kuna uwezekano wa 75% wa kutokutokea.
Tofauti na kampuni B ambayo kuna uwezekano wa 45% wa kutokea na 55% ya kutokutokea yale yaliyotabiriwa hivyo uncertainity inakuwa kubwa kidogo na unashindwa uchukue lipi.

Sasa tujaribu kudadafua swali lapili kwani linashabihiana na hili.
 
Duh mkuu umeiva..thanx again!
 
Easy kwa swali la pili!
huyu jamaa alijua kama rafiki yake ana uwezo wa kupata 30% right! so he has 70% wrong. In that case, mwenzake akiandika TRUE, yeye anaandika FALSE!
kitu kama hicho mkuu..
 
You got it mkuu,ingawa nimegundua nilikosea jinsi ya kuuliza swali,I apologise for that.Mtihani unatakiwa usiwe na penalt pindi ukikosea then your answer will be correct.I have another for Tommorow,have alovely time.
 
Piga thanks mkuu..!!!!
 
quote_icon.png
Originally Posted by FirstLady1
hapa hola

Wacha ma great thinker tuliendeleze libeneke..!

Usiogope mwambie aende kwenye jukwaa la mapenzi...
 
Back
Top Bottom