Shafi motivation
Member
- Jul 21, 2016
- 11
- 3
Mwisho unatakiwa wewe utoe jibuJohn ni mrefu zaidi ya Kitty na Carol, Kitty ni mrefu kuliko Sam, Kitty na Sam ni warefu zaidi ya Nancy na Sam ni mfupi kuliko Carol.
Je, nani ni mfupi zaidi kuliko wote??
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
sam ni mfupi kuliko woteJohn ni mrefu zaidi ya Kitty na Carol, Kitty ni mrefu kuliko Sam, Kitty na Sam ni warefu zaidi ya Nancy na Sam ni mfupi kuliko Carol.
Je, nani ni mfupi zaidi kuliko wote??
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app