Chemshabongo kwa wenye akili tu!

Chemshabongo kwa wenye akili tu!

Joined
Jul 21, 2016
Posts
11
Reaction score
3
John ni mrefu zaidi ya Kitty na Carol, Kitty ni mrefu kuliko Sam, Kitty na Sam ni warefu zaidi ya Nancy na Sam ni mfupi kuliko Carol.
Je, nani ni mfupi zaidi kuliko wote??



Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom