Chenge aongezewa shitaka


POLE ukishadumbukiziwa vijisenti, hata kumtafuta kulipiza utawahi, hata ndugu yake viki alisema hivyo 'Sikubali..sikubali' sasa wako kimya wanakula vijisenti na wametulia nasikia hata hawataki kuhojiwa na Mapaparazi juu ya habari za Chenge, baada ya Mgeja swahiba mkubwa wa Chenge kuwapatia kifuta Uhai..No kifuta maChozi.
 
Na atasema ni amri ya mungu
 
Hili la bima ndugu zangu tujifunze,hebu tujiulize (kwa wenye magari) ni mara ngapi asubuhi kabla ya kuondoka nyumbani umekagua stika ya bima na road licence kama ni valid? tukubaliane ni mara chache.this is a lesson for all!
 
Na kweli ndugu yangu lakini sisi walala hoi tuna hakika na gari zetu kabla kuondoka home. Hawa hawa wakubwa ndio wana matatizo kwa sababu eti ni wakubwa na wabunge so hata hawa traffic wanawaongopa kukagua gari yao.

Swali ni hivi kaka yangu kwani kazi ya traffic polisi ni nini hasa ??? kuwanyanyasa wadogo au laa ??? Tuna subiri kuona hiyo case yake huyo the so called Chenge na mauaji itachukuliwaje na hiyo Serikali yetu. Wamezoea kutunyanyasa wadogo eti kwa sababu sisi sio mabunge wala mkubwa ya Serikali. Kweli hasa huyo Chenge alaniwe na asione rehema ya Mungu kwa ushirikina yake na kiburi kuiba pesa za waTanzania na kututukana, kukebe na kukashfu eti VISENTI. ALANIWE NA FAMILIA YAKE YOTE MPAKA VIZAZI NA VIZAZI.
 
 
.
 
Naona SREDI zinapewa ufufuo na uzima....

Mnataka jimbo la Chenge?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…