Pia muda wote alikuwa bize akiongea na simu huku akiwa amevalia miwani meusi.
Picha zaidi gonga http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=265671
mkulu,umesahau kwamba bongo kuna instant MOB JUSTICE
Ndugu umeiangalia vizuri hiyo picha ya bajaj? Mbona vyuma vyake vimeelekea mbele ikimaanisha msukumo ulitokea nyuma? Kama ni face to cace, kwa vyuma vya bajaji wala sura yake isingeonekana hata taa ya mbele isingebakihalafu hiyo Bajaj inaonekana iligongwa kwa mbele ,watu habari inaonesha wamepotosha ukweli ,kwa jinzi picha cinavyoonekana ni kuwa hii ilikuwa face to face.
Hivi zile picha ...Yaani kaua watanzania aliokwishawaibia then anacheka huku anapunga mikono kana kwamba kaua ndezi....😡😡
Si afadhali Chenge anajulikana moyo wake mkavu hana huruma, mimi hao maafande wanaojichekesha ndio hata sielewi kilicho funny kuhusu ajali ni nini yani.
abuHata barara zenyewe zimekalia kusababisha ajali,hivi taa za barabarani zilikuwa zikiwaka ,halafu hiyo Bajaj inaonekana iligongwa kwa mbele ,watu habari inaonesha wamepotosha ukweliwa jinzi picha cinavyoonekana ni kuwa hii ilikuwa face to face.
Dah izo picha zinawaonyesha watoto ,kwa kweli Tz ni shida ndio mnaona wenyewe hapo ,sisi tunayajua maana tupo katikati ya jiji,si mnawaona hao watoto hata nywele hawana ,nywele zinakataa kuota kwa ziki ,hawana lishe bora.Ndio maana yake.Hakuoti kitu.
Hii habari inazidi utata tu,mara alichomekewa mara sijui nini....Kwanza tunajuwa sheria zaetu za barabarabi ni keep left,sasa mtu aliyekuwa mbele yake alienda vipi upande wa kulia na wakati gari ya Chenge yenye we imepondeka upande wa kushoto?
Ama sheria za barabarani zimebadilika..Kama kuna mwenye kuweza kutueleza vizuri hapo ningeshukuru maana sijaielewa hii...Mtu akiwa mbele yako akijaribu kulipita gari jingine anakuwa upande wako wa kulia,na akirudi anakuwa mbele yako...Sasa what the heck is this kwamba yeye alimgonga ubavuni?
Halafu anasema gari ilikuwa inatokea morogoro store,means haikuwa kwenye lanes bali iikuwa inaingia barabarabi,sasa Bajaj ilikuwa inaikwepa ama ina overtake? Duh!
Hilo la Insurance ni suala dogo sana.
Mkuu Invisible, inawezekanaje kuwa gari alilokuwa akitumia Mhe. Chenge lilikuwa halina insurance (ime expire) wakati sticker ya usalama barabarani inaonekana kwenye windscreen kuthibitisha kuwa lilikaguliwa na afisa wa usalama barabarani siku za karibuni zaidi?
- Hizi habari kama ni za kweli basi ni very disturbing news, my heart goes to familia ya marehemu dereva wa hiyo bajaji,
- Wenzetu US siku hizi wamezi-adjust sheria za barabara kwa hiyo kwao sasa ajali inaangaliwa case by case sio generalization kama hapa kwetu, inasikitisha sana.
William.