Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Kwa siku nimemsikia Chenge ktk bunge la jamhuri na la Katiba.Nimeona kuwa pamoja na mambo mengine ni kwamba Chenge hawezi kabis ajieleza kwa lugha yoyote ya kitaifa.
Sijui kisukuma.Ila kiswahili hawezi,kiiingereza hawezi, pamoja na mawasiliano yake kimuonekano na maneno yake ni shida kabisa.
Huwa anakuwa kanuna huku akishindwa hata shawishi watu kucheka kwa yeye kuwachekesha kwa makusudi na si kumcheka. Pia chenge ana Dharau na majivuno yasiyo na mawasiliano na muonekano wake,haya yanamfunya asiwe good speaker, wala public figure.
KIbaya zaidi ni hiki Chenge hata muunganiko na flow ya mawazo inayoweza fikisha ujumbe kamili kwa hadhira. Sikuwahi fikiria sana kuwa na shida hivyo,ila nimejionea mwenyewe.
Na hili linanishawishi san akuamini kuwa huyu jamaa hata mikataba mibovu inahusiana sana madhaifu kama haya.