Mgambo mojaaa. OP Kikwete, Eagle coy ya wepesi.Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,
"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"
Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Wapuuzi tu hawa,,,, shenzy
Kumbe ulikuwa mgambo.... Habari za gendagenda? Mirambo ulimkuta?835 kj mgambo operation kikwete bravo coy chenja ysngu kubwa ilikuwa ni neilaaa weee neilaaaa weeee kitambala changuuuuu
Nimemwambia kurutu ntamumiza821kj mwisho wa reli hiyo.
afande Ambari-
841 kj dah operesheni kikwete danger coy chenja language ligoma ligooma lina lia eeeh eeh ligoma tarara ligoma ukiwa mzembe majeshi huwezi mama we.... Asee hate baridi lake usiombeTukumbushane kipindi hicho cha JKT,
"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"
Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Kuna zingine tukiziandika hapa tutaripotiwa kwa Mods kuwa tumetukana.... Kumbe ndivyo ilivyo.[/Q UOTE]
Piga amba kati.. (wamekaa) ambakati (wamekaa) piga ambakati.. (wamekaa) Chembe kidevu.. (wamekaa) kwani Bei gan Baridii tu #ma#ma#ma#maeee Baridi tuu..!
832kj Chiga Koy
824 KjHiyo ni Kanembwa Mkuu.
Utapika kwenye kokoto hadi mawe ukiharibu tu pingu na pushap zakoTukumbushane kipindi hicho cha JKT,
"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"
Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Ndy mnavyo danganyana kwenye chenja kuwa Policie push-up juu ya godoro. Mi mwanyew nmepita Jakata bt Mziki wa police nmeuelewa, wapo vzr!
Embu punguza uongo wwPolisi mananga tu kazi kuonea raia yani mtu yupo kozi afu anakuwa msafi boti linang'aa kiwi
Nakumbuka siku tulikuwa tunakimbia mbio za jioni tukakuta na polisi njiani akawa anataka kuleta mambo ya ushakira eti tumsalimie tulichomfanya nadhani alienda kusimulia wenzio huko kituoni
Embu punguza uongo ww
Utamfanya nn Police, Mtekeleza sheria.
Waulize wanzako wa huku tbr wanajua vzr mziki wa police.
Hahaha jamaa anasauti na mkwala huyo [emoji23][emoji23] mimi Op: kikwete hiyo821kj mwisho wa reli hiyo.
afande Ambari-
Hapa nampata Mundeba (RSM) na Bufa, ila Bufa alipata ajari na Iveco lake lile ila aliponaChungulia chupi ya Wemaa, Chungulia chupi ya wemaeeeee.... ya wema ya wema ya wemaaaa ... chungulia chupi ya wema eeee!
Sio wema Sepetu, bali utu, ubinadamu uujue hadi ndani
821KJ 2014.. Nitawakumbuka sana Afande Mundeba, Mhasibu, Bufa, Nyaulingo, Katumbaku, Kiliza, Mwakibinga