Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,

"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"

Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Mgambo mojaaa. OP Kikwete, Eagle coy ya wepesi.
 
Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,

"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"

Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
841 kj dah operesheni kikwete danger coy chenja language ligoma ligooma lina lia eeeh eeh ligoma tarara ligoma ukiwa mzembe majeshi huwezi mama we.... Asee hate baridi lake usiombe
 
Kuna zingine tukiziandika hapa tutaripotiwa kwa Mods kuwa tumetukana.... Kumbe ndivyo ilivyo.[/Q UOTE]

Piga amba kati.. (wamekaa) ambakati (wamekaa) piga ambakati.. (wamekaa) Chembe kidevu.. (wamekaa) kwani Bei gan Baridii tu #ma#ma#ma#maeee Baridi tuu..!

832kj Chiga Koy
 
Baridaaaaaa tu,udadekiiiii baridaaaaaaaa tu,Charlie coy ya...........
 
Chungulia chupi ya Wemaa, Chungulia chupi ya wemaeeeee.... ya wema ya wema ya wemaaaa ... chungulia chupi ya wema eeee!

Sio wema Sepetu, bali utu, ubinadamu uujue hadi ndani

821KJ 2014.. Nitawakumbuka sana Afande Mundeba, Mhasibu, Bufa, Nyaulingo, Katumbaku, Kiliza, Mwakibinga
 
Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,

"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"

Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..
Utapika kwenye kokoto hadi mawe ukiharibu tu pingu na pushap zako
 
841 kj dah operesheni kikwete danger coy chenja language ligoma ligooma lina lia eeeh eeh ligoma tarara ligoma ukiwa mzembe majeshi huwezi mama we.... Asee hate baridi lake usiombe
Tulikuwa wote Mgambo JKT..mimi bravo enzi hizoo
 
Ndy mnavyo danganyana kwenye chenja kuwa Policie push-up juu ya godoro. Mi mwanyew nmepita Jakata bt Mziki wa police nmeuelewa, wapo vzr!
 
Polisi mananga tu kazi kuonea raia yani mtu yupo kozi afu anakuwa msafi boti linang'aa kiwi
Nakumbuka siku tulikuwa tunakimbia mbio za jioni tukakuta na polisi njiani akawa anataka kuleta mambo ya ushakira eti tumsalimie tulichomfanya nadhani alienda kusimulia wenzio huko kituoni
 
Embu punguza uongo ww
Utamfanya nn Police, Mtekeleza sheria.
Waulize wanzako wa huku tbr wanajua vzr mziki wa police.
 
Polisi hamna jipya small square majungu master parade ndo ucseme, mkikutana uwanja wa damu ni unanga co unaa.. na kutishana msalimie Meja Mtigandi Coplo kashinje na cpl Machumu na Ssgt Omari HQ Coy..!
 
Chungulia chupi ya Wemaa, Chungulia chupi ya wemaeeeee.... ya wema ya wema ya wemaaaa ... chungulia chupi ya wema eeee!

Sio wema Sepetu, bali utu, ubinadamu uujue hadi ndani

821KJ 2014.. Nitawakumbuka sana Afande Mundeba, Mhasibu, Bufa, Nyaulingo, Katumbaku, Kiliza, Mwakibinga
Hapa nampata Mundeba (RSM) na Bufa, ila Bufa alipata ajari na Iveco lake lile ila alipona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom