Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

Ahaaaaaaa churaaaa anaruka bila boksaaaaaaa.....hii chenja hata Kama umedoji ukiisikia siku ya mkesha unarudi kwenye platooon fasta, vp mnakumbuka mwendo wa jini, nyakua nyakua na kwenda mzani kutafuta appetite unakimbua km 6 ili uje upate slice moja ya mkate na kuponi?
 
Muda wa kwenda mzani au kutafuta appetite nilikuwa nachanganyikiwa zile nyakua nyakua
 
Muda wa kwenda mzani au kutafuta appetite nilikuwa nachanganyikiwa zile nyakua nyakua
 
ulikua combania gani bro maana tulikua sote uko lile trip la pori unalikumbuka?
 
Aisee....
Basi sawa
 
Sisi wa 92 kj chenja zetu hua hatuzitoi hivi hivi maana machozi ya damu yanaweza kutoka
 
[emoji445][emoji445]siwezi kusimamisha mnazi ee×2
Nitafumwa na afande mayasa[emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji2][emoji2] sitaki kukumbuka yale maisha ya jkt Oljoro,Arusha mwaka 2015.
Miezi 3 kama miaka 3
Yale mawe vipi..
Kule zizini kwa mzee lyaseko kama unaenda farming kutoka bwaloni juu pale ndo ililuwa chimbo langu nikidoji[emoji23][emoji23]
 
Yale mawe vipi..
Kule zizini kwa mzee lyaseko kama unaenda farming kutoka bwaloni juu pale ndo ililuwa chimbo langu nikidoji[emoji23][emoji23]
yale mawe maafande walikuwa wanasema ndio miungu yao😂😂😂..na zile mbigili
 
Aahahahhahahaa nyakua nyakua ....hapo kurutu hurusiwi kutembea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…