Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Walikua yeye na best yake msegejuJKT Maramba - Afande Ngajimara
Yah,
Ndani ya 832 kj bravo coy ya demo chenja niliyokuwa naipenda sana ni ile la molari hamba morali we hamba moralii hammba morali we hammba siyela hamba siyela we hamba, hamba na manyekunyeku. Tupo na afande the best na zero na afande alimasi

821kj mwisho wa reli hiyo.
afande Ambari.aaaaah weka bajaji weka bajaji kama unataka upepo panda bajaji mwananguuuuuu....Ambari alitusogezea siku pale combania Eagle coy
Soja, Me nilikua Mtabila pale Op Merelani...Wale wa 825KJ Mtabila moja hiyo danger coy ya morali tukiwa na afande mzilai a.k.a the sniper , chenja yangu ya mda wote ni " washkaj mbn mnalemba, atulembi cc tunangoja ageuke ; unashangaa busha ndani ya modo mambo kidigitali..........! Dah hataree sana iyo
825KJ
Nlikuwa nikiipenda ile ya siwela eeh ambaa.. siwela eeh ambaa siwela eeh ambaa* 2
sina mwengine.. mwengineeeh eeh *2
sina mwengine mama.. mwenginee eeh*2
nyingine ni.. kijani kibichi cha... sjui cha nini nshasahau neno ila inaeendelea.. kambi mtabila inan'garaa wee iliyo juu ya mlima....
nyingine nilikuwa nikiimba navuta hisia mbali sana hapo tumetoka kula doso inaambwa
oyaya merinaa .. oyayaa merina
merina wangu (kiitikio oyayaa)
nakupenda Sana (oyayaa)
Mimi nipo depo((oyayaa) nitarejea (oyayaa mzuri Sana merina)
ya coy yetu ilikuwa
denjalo denjalo. denjola coy yangu.. denjalo mama denjalo 92 mbili mtabila aaeeh aaaheeh...

834kj Makutopora..Mie 881 kj makutopora
Zaina zaina (zaina).
Tumepiga jaramba mzakwe,
Kumbuka mbali sana kaka, Mp Kichefuchefu, Afande Manyigu(rip), Mej James, Mzee wa Bustani na wengine weeChungulia chupi ya Wemaa, Chungulia chupi ya wemaeeeee.... ya wema ya wema ya wemaaaa ... chungulia chupi ya wema eeee!
Sio wema Sepetu, bali utu, ubinadamu uujue hadi ndani
821KJ 2014.. Nitawakumbuka sana Afande Mundeba, Mhasibu, Bufa, Nyaulingo, Katumbaku, Kiliza, Mwakibinga
Afande Kanuda akili zilikua tenge, anakimbia kimbia hovyo tu.Hapo mkuu Kanuda hakuwahi kukupitia?
]Kupata hakuna kudogo
Hukuiva wewe unakumbuka mpaka majina ya maafande!! yafaa tukurudishe uongezewe six weekHahaha jamaa anasauti na mkwala huyo [emoji23][emoji23] mimi Op: kikwete hiyo
CO: Mohamed Mketo
Aisee [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,
"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"
Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..